Msanii Diamond kutoka Tanzania ni moja ya
wasanii kadhaa kutoka Africa Hasa afrika magharibi watakaoshiriki
katika Tuzo za muziki zitakazofanyika huko Eisemann Center Dallas
Nchini Marekani
Tuzo hizo zinazotaraji kufanyika July 26th, 2014 na kuwakutanisha
wasanii kutoka Africa Magharibi Kusini na Kwinginepo Itahostiwa na
mchekeshaji kutoka Nigeria Basket Mouth pamoja na Na Mrembo Pia
Muigizaji Kutoka Nollywood Juliet Ibrahim.
Unaambiwa mambo ya Ya Red Carpet yataanza saa moja kamili huku show kamili ikianza saa mbili kamili
Show Hiyo Kubwa kwa wa Africa Itakusanya wadau kibao wa muziki wa
kiafrika Duniani Wanamuziki, Ma producer, Ma Manager, Dj’s Na kila
anaeendeleza Tamaduni Za Kiafrica
Wageni kutoka Mataifa 17 Ya Africa wanatarajia kutoka Miji ya mbali
mbali ya Nchini Marekani kuhudhuria Tuzo Hizo Ambapo kwa hapa Tanzania
tunatarajia kuwakiliswa na msanii mkubwa Diamond Platinum.
No comments:
Post a Comment