PICHA:MSANII LULU WA BONGO MOVIE ARUDI SHULE
Kweli elimu ni bahari na wala haina mwisho,picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni wa kijamii inamuonesha msanii
huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi wake.
No comments:
Post a Comment