Sunday, 29 June 2014

Hemedy atangaza kuacha kuvaa hereni tena kwenye uigizaji


Hemedy atangaza kuacha kuvaa hereni tena kwenye uigizaji
     
    Leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwigizaji Hemedy Suleiman maarufu kama Hemedy au Fernando (a.k.a yake mpya) amesema kuwa hatavaa tena hereni kwenye kuigiza kwani ameshakuwa mtu mzima sasa.
    Hemedy ambaye hivi majuzi alisherehekea kutimiza miaka 27 ya kuzaliwaameandika kuwa kama mtu mzima, hata vaa tena hereni katika movie zake. Hatujaweza kujua kama ataacha kabisa kuvaa hereni au ni kwenye uigizaji tuu
    Unalizungumziaje suala hili, Je, kuna umuhimu wa wasanii kuvaa hereni Tanzania?



    No comments:

    Post a Comment