Sunday, 16 February 2014

MUIGIZAJI WA KIKE WA BONGO MOVIE AWASHANGAZA WATU KWA ALICHOKIFANYA JUKWAANI

  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kweli hyo ndo ilikuwa valentine
                          PICHA HIZI UNAZOZIONA HAPA NI KWENYE TAMASHA LA SANAA NA MALAIKA BAND JIJINI DAR ES SALAAM JANA USIKU,  DADA huyo licha ya kumilika kampuni ya filamu ijulikanayo kama EAGLE ENTERTAINMENT lakini akipanda stejini ni shidaaaaaaaaaaaaaaaa.YUSTER NYAKACHARA
Mwigizaji wa kike wa bongo movie mwenye vipaji vingi kuliko muenekano wake, baada ya kuwapagawisha mashabiki alipopanda stejini na kuvaa nguo ya kudancea na kuwaacha watu na butwaa kubwa kwa ku dance kwake katika show zake

No comments:

Post a Comment